
ANGALIA MTUTU WA KIRUSHIA BOMU UKIWA UMEELEKEZWA KWA BWANA MWANGOSI
KUNA GRENADE ZA AINA MBILI
1.NON LETHAL GRENADE
TEAR GAS GRENADE NI MFANO WA NON LETHAL GRENADE AMBAZO ZENYEWE HAZINA MILIPUKO BALI HUTOA GESI KWA AJIRI YA KUWASAMBARATISHA WAANDAMANAJI AU KUTUMIKA KUTOA TAARIFA KWA NJIA Y MOSHI KWA WANAJESHI WAWAPO VITANI.

2.EXPLOSIVE GRENADE
KITAALAMU GRENADE DOGO LA KAWAIDA HUWEZA KUTEMBEA KWA MWENDO KASI WA MITA 75 KWA SEKUNDE KUTOKA KWENYE KIFAA CHA KURUSHIA (GRENADE LAUNCHER) NA KUMWAGA VIPANDEVIPANDE (FRAGMENTS) 300 AMBAVYO HUTEMBEA KWA MWENDO KASI WA MITA 1524 KWA SEKUNDE KATIKA KIPENYO CHA UMBALI WA MITA TANO KUTOKA LILIPOLIPUKA .

katika sehemu kama hii kilicho muua muandishi wa habari kinaweza kuwa ni bomu dogo (explosive grenade ),na kwa maoni yangu ni kwamba huenda bomu hilo lilipigwa na askari aliye upande wa kushoto wa picha hiyo hapo juu ,aliye nyuma ya askari aliyeshikwa na mwangosi,ni kwamba alichoshika askari huyo kinaitwa GRENADE LAUNCHER (NI KIFAA KINACHOTUMIKA KURUSHIA GRENADE)
GRENADE LAUNCHER INATUMIKA KURUSHIA GRENADE ZA AINA ZOTE MBILI YAANI EXPLOSIVE GRENADE PAMOJA NA TEAR GAS GRENADE
KIWANGO CHA MLIPUKO AMBAO MADHARA YAKE YANAONEKANA BAADA YA BWANA MWANGOSI KUFARIKI KINAONYESHA KWAMBA GRENADE HILO LILIRUSHWA NA KUTUA KARIBU KABISA NA BWANA MWANGOSI(ZERO DISTANCE).
HATA HIVYO HUENDA GRENADE HILO LILIRUSHWA NA MMOJA WA ASKARI WALIOKUWA WAKIMZUNGUKA BWANA MWANGOSI KWA SABABU
1. HALIKUWAATHILI ASKARI HAO KAMA LILIVYO MUATHIRI BWANA MWANGOSI.HII NIMKUONYESHA KWAMBA LILILENGWA KOTOKEA KARIBU SANA ALIPOKUWEPO BWANA MWANGOSI NA KUTUA TUMBONI AMA KIFUANI KABLA HALIJAMLIPUKIA ,NA KWA KUWA ALIKUWA AMEINAMA VIPANDEVIPANDE AMBAVYO HUTOKA NDANI YA BOMU HILO HAVIKUWEZA KUWAATHILI ASKARI WALIOKUWA KARIBU NA BWANA MWANGOSI
2.KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA ASKARI AKAWA AMECHUKUA EXPLOSIVE GRENADE BADALA YA TEAR GAS GRENADE KWANI VYOTE VIWILI HUWEZA KURUSHIKA KWA KUTUMIA KIFAA ALICHOSHIKA ASKARI HAPO JUU (GRENADE LAUNCHER
) NA HIVYO ASKARI HUYO KUVURUMISHA GRENADE HILO MBELE YA BWANA MWANGOSI.

JINSI MWILI UNAVYOONEKANA NI KWAMBA HUENDA MLIPUKO ULIKUWA NI WA GRENADE LA WASTANI LAKINI LILISABABISHA KUSAMBALATIKA KWA MWILI WA BWANA MWANGOSI KWA SABABU
1.ALIKUWA KARIBU SANA NA GRENADE
2.ALIINAMA NA KUZUIA VIPANDEVIPANDE (BOMB FRAGMENTS) KURUKA MBALI NAYE)

POLE KWA NDUGU NA WAFANYAKAZI WENZAKE,BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE
4 comments:
NI VYEMA POLISI WAKAKAA CHINI KUACHA TUME HURU KUFANYA KAZI
unyama mkubwa huu
ni vyema raisi akatoa tamko na kuunda kamati
Huyo aliyefanya hivyo sheria ichukue mkondo wake bila ya kupindishwa, tunakwenda wapi sasa jamani?
Post a Comment