Monday, September 3, 2012

TATHMINI YA MLIPUKO ULIOMUUA MWANDISHI WA HABARI

Photo: Hapa marehemu Daud Mwangosi wa chanel ten akiwa chini akipokea kipigo kbl ya kusambaratishwa utumbo na bomu..Police this is too much jamani,halafu mnasema walilirusha wananchi???mnatuona machizi sana wkt picha zipo
ANGALIA MTUTU WA KIRUSHIA BOMU UKIWA UMEELEKEZWA KWA BWANA MWANGOSI


 KUNA GRENADE ZA AINA MBILI

1.NON LETHAL GRENADE

TEAR GAS GRENADE NI MFANO WA NON LETHAL GRENADE AMBAZO ZENYEWE HAZINA MILIPUKO BALI HUTOA GESI KWA AJIRI YA KUWASAMBARATISHA WAANDAMANAJI AU KUTUMIKA KUTOA TAARIFA KWA NJIA Y MOSHI KWA WANAJESHI WAWAPO VITANI.
 


2.EXPLOSIVE GRENADE

KITAALAMU GRENADE DOGO LA KAWAIDA HUWEZA KUTEMBEA KWA MWENDO KASI WA MITA 75 KWA SEKUNDE  KUTOKA KWENYE KIFAA CHA KURUSHIA (GRENADE LAUNCHER) NA KUMWAGA VIPANDEVIPANDE (FRAGMENTS) 300 AMBAVYO HUTEMBEA KWA MWENDO KASI WA MITA 1524 KWA SEKUNDE KATIKA KIPENYO CHA UMBALI WA MITA TANO KUTOKA LILIPOLIPUKA .katika sehemu kama hii kilicho muua muandishi wa habari kinaweza kuwa ni bomu dogo (explosive grenade ),na kwa maoni yangu ni kwamba huenda bomu hilo  lilipigwa na askari aliye upande wa kushoto wa picha hiyo hapo juu ,aliye nyuma ya askari aliyeshikwa na mwangosi,ni kwamba alichoshika askari huyo kinaitwa GRENADE LAUNCHER (NI KIFAA KINACHOTUMIKA KURUSHIA GRENADE)

GRENADE LAUNCHER INATUMIKA KURUSHIA GRENADE ZA AINA ZOTE MBILI YAANI EXPLOSIVE GRENADE PAMOJA NA TEAR GAS GRENADE

KIWANGO CHA MLIPUKO AMBAO MADHARA YAKE YANAONEKANA BAADA YA BWANA MWANGOSI KUFARIKI KINAONYESHA KWAMBA GRENADE HILO LILIRUSHWA NA KUTUA KARIBU KABISA NA BWANA MWANGOSI(ZERO DISTANCE).

HATA HIVYO HUENDA GRENADE HILO LILIRUSHWA NA MMOJA WA ASKARI WALIOKUWA WAKIMZUNGUKA  BWANA MWANGOSI KWA SABABU

1. HALIKUWAATHILI ASKARI HAO KAMA LILIVYO MUATHIRI BWANA MWANGOSI.HII NIMKUONYESHA KWAMBA LILILENGWA KOTOKEA KARIBU  SANA ALIPOKUWEPO BWANA MWANGOSI NA KUTUA TUMBONI AMA KIFUANI KABLA HALIJAMLIPUKIA ,NA KWA KUWA ALIKUWA AMEINAMA VIPANDEVIPANDE AMBAVYO HUTOKA NDANI YA BOMU HILO HAVIKUWEZA KUWAATHILI ASKARI WALIOKUWA KARIBU NA BWANA MWANGOSI

2.KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA ASKARI AKAWA AMECHUKUA EXPLOSIVE GRENADE BADALA YA TEAR GAS GRENADE KWANI VYOTE VIWILI HUWEZA KURUSHIKA KWA KUTUMIA KIFAA ALICHOSHIKA ASKARI HAPO JUU (GRENADE LAUNCHER
) NA HIVYO ASKARI HUYO KUVURUMISHA GRENADE HILO MBELE YA BWANA MWANGOSI.JINSI MWILI UNAVYOONEKANA NI KWAMBA HUENDA MLIPUKO ULIKUWA NI WA GRENADE LA WASTANI LAKINI LILISABABISHA KUSAMBALATIKA KWA MWILI WA BWANA MWANGOSI KWA SABABU

1.ALIKUWA KARIBU SANA NA GRENADE

2.ALIINAMA NA KUZUIA VIPANDEVIPANDE (BOMB FRAGMENTS) KURUKA MBALI NAYE)

Photo: SAMAHANINI KWA WATAKAOKWAZIKA NA PICHA HII,SINA NIA YA KUMDHARIRISHA MAREHEMU BALI NI KUONYESHA JINSI GANI MWENZETU ALIVYOUAWA KINYAMA MBELE YA VYOMBO VYA DOLA NA KTK NCHI YENYE AMANIHivi ndivyo ilivyokuwa baada ya bomu kulipuka.POLE KWA NDUGU NA WAFANYAKAZI WENZAKE,BWANA ALITOA NA BWANA AMETWAA JINA LA BWANA LIHIMIDIWE


4 comments:

Friday Mtweve said...

NI VYEMA POLISI WAKAKAA CHINI KUACHA TUME HURU KUFANYA KAZI

Anonymous said...

unyama mkubwa huu

Anonymous said...

ni vyema raisi akatoa tamko na kuunda kamati

Anonymous said...

Huyo aliyefanya hivyo sheria ichukue mkondo wake bila ya kupindishwa, tunakwenda wapi sasa jamani?